Sera ya fedha ni maamuzi na kazi zinazofanywa na Benki Kuu kwa niaba ya serikali ili kudhibiti ujazi wa fedha katika uchumi kwa kuongeza au kupunguza ...
Benki Kuu ya Tanzania imepewa mamlaka ya kutoa leseni, kusimamia, kudhibiti na kufuta leseni za benki, taasisi za fedha pamoja na maduka ya fedha za kigeni. Taasisi za Fedha ni ...
Sheria ya Mifumo ya Malipo ya Taifa ya mwaka 2015 inatoa mamlaka kwa Benki Kuu ya Tanzania kusimamia na kudhibiti mifumo ya...
Benki Kuu ya Tanzania inatumia masoko ya fedha, dhamana za serikali na uuzaji na ununuzi wa fedha za kigeni katika kutekeleza sera ya fedha, kuhakikisha...
Kwa mujibu wa Sheria ya Benki Kuu ya mwaka 2006, Benki Kuu ya Tanzania ni taasisi pekee yenye jukumu la kutoa noti na sarafu nchini Tanzania,ambazo zitakuwa...
Benki Kuu ya Tanzania ni wakala wa huduma za kibenki kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Huduma jumuishi za kifedha huchangia katika ujumuishi wa kifedha katika sekta ya fedha, kwa mtu mmoja mmoja na biashara kufikiwa na kutumia bidhaa...
Tarehe ya biashara:29-Aug-25
Kununua Kuuza
BIF 0.8139 0.822
EUR 2862.3138 2890.937
GBP 3313.07 3346.2007
JPY 16.6707 16.8374
KES 18.9626 19.1522
RWF 1.6837 1.7005
UGX 0.69 0.6969
USD 2453.7624 2478.3
GOLD 8350398.743 8433902.73
ZAR 138.866 140.2547
Overnight IBCM
Tarehe ya Biashara
8/28/2025
Kiasi (Million TZS) 4,000.00
JUU 7.00
CHINI 6.50
WASTANI 6.63
Soma zaidi..
7 Day IBCM
Tarehe ya Biashara
8/28/2025
Kiasi (Million TZS) 51,900.00
JUU 7.75
CHINI 6.00
WASTANI 6.58
Soma zaidi..
REPO
Tenure (Days)
WAR
Kiasi (Million TZS)
7 (3/28/2024) 5 100,000.00
14 (3/28/2024) 5.5 100,000.00
6 (6/30/2023) 3 60,000.00
30 (5/2/2023) 3 20,000.00
8 (12/23/2013) 5.5 15,000.00
4 (12/23/2013) 5 15,000.00
10 (12/20/2013) 5 15,000.00
REVERSE REPO
Tenure (Days)
WAR
Kiasi (Million TZS)
7 (8/28/2025) 5.75 900,000.00
14 (10/7/2024) 8 100,000.00
30 (1/14/2022) 6.5 8,000.00