English | Mwanzo | Wasiliana nasi | Mrejesho | Tafuta
Nembo ya Serikali Benki kuu ya Tanzania Bank of Tanzania Logo

Bodi ya Bima ya Amana

Kuhusu Bodi ya Bima ya Amana Board Members Member Institutions Publications Conference FAQ

 

International Association of Deposit Insurers

Kuanzishwa
Bodi ya Bima ya amana ( DIB) ni chombo cha umma kinachojulikana kisheria ambapo kuwepo na utendaji wake wa kazi umeainishwa kwenye kipengele cha 36 hadi 42 cha sheria ya mabenki na taasisi za fedha ya mwaka 2006. Kabla ya mwaka 2006, Bodi ya Bima ya Amana pamoja na mfuko wa Bima ya amana ulikuwa unafanya kazi zake chini ya sheria ya mabenki na taasisi za fedha ya mwaka 1991 ambayo kwa sasa imefutwa. Bodi ya Bima ya amana ilianza rasmi kufanya kazi mwaka 1994 chini ya usimamizi wa Benki Kuu ya Tanzania

DHIMA
Dhima ya Bodi ya Bima ya Tanzania ni kuwa na mfuko endelevu unaotoa kinga and kuhakikishia wateja wa mabenki malipo ya mara moja pindi inapotakiwa kufanya hivyo.

DIRA
Dira ya Bodi ya Bima ya Amana ni kuimarisha na kujenga uadilifu katika sekta ya Taasisi za fedha kwa kuwa Taasisi ya Bima inayojitegemea na kuhakikishia wateja huduma ya kinga endelevu kwa wateja wa mabenki

Wasiliana Nasi:

Kwa maelezo zaidi wasiliana na:
Mkurugenzi,
Bodi ya Bima ya Amana,
Makao Makuu ya Benki Kuu ya Tanzania
Ghorofa ya 7, Mnara wa kaskazini
2 Mtaa wa Mirambo, 11884 Dar-Es- Salaam
S. L. B. 2939, Dar-es-Salaam- Tanzania
Barua Pepe: info@bot.go.tz
Simu: + 255 (0) 22 2235390, +255 (0) 22 2234200

 

| Chuo cha Benki Kuu | Webmail Access | Bodi ya Bima ya Amana | Kumbukumbu | Ajira, Zabuni, Taarifa kwa Umma |

 
Mpangilio wa Tovuti | Tahadhari kwenye Tovuti | Sera ya Faragha | Tahadhari kwenye barua pepe | Webmaster@bot.go.tz