English | Mwanzo | Wasiliana nasi | Mrejesho | Tafuta
Nembo ya Serikali Benki kuu ya Tanzania Bank of Tanzania Logo

Kurugenzi ya Huduma za Kibenki

 

Benki Kuu ya Tanzania ni mtunza fedha na wakala wa fedha wa serikali na mabenki ya biashara na taasisi za fedha. Benki hii inatunza akaunti za mapato na matumizi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Kupitia Kurugenzi ya Huduma za Kibenki, Benki Kuu ina wajibu wa kutunza akaunti, mapato na matumizi ya serikali na pia kukopesha Serikali kupitia Hazina

Aidha, Benki kama wakala wa fedha wa serikali, inasimamia miamala yote ya serikali na mashirika ya fedha ya kimataifa au taasisi ambazo Serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania ni mwanachama

Kurugenzi ya Huduma za Kibenki ina idara mbili zijulikanazo kama:

 

Idara ya Huduma za Kibenki

 

Idara ya Sarafu

 

 

 

 

Wasiliana Nasi:

Ofisi za Kurugenzi ya Huduma za Kibenki zipo ghorofa ya Pili, Mnara wa Kaskazini, Jengo la Benki Kuu ya Tanzania, Mtaa wa 2 Mirambo, 11884 Dar es Salaam.

Barua Pepe: info@bot.go.tz
Simu: +255 22 2235416

 
 

| Chuo cha Benki Kuu | Webmail Access | Bodi ya Bima ya Amana | Kumbukumbu | Ajira, Zabuni, Taarifa kwa Umma |

 
Mpangilio wa Tovuti | Tahadhari kwenye Tovuti | Sera ya Faragha | Tahadhari kwenye barua pepe | Webmaster@bot.go.tz