English | Mwanzo | Wasiliana nasi | Mrejesho | Tafuta
Nembo ya Serikali Benki kuu ya Tanzania Bank of Tanzania Logo

Huduma za Kibenki

 

 

 

 

 

Kurugenzi ya Huduma za Kibenki

 

 

 

 

 

KUSITISHWA KWA UUZAJI WA NOTI NA SARAFU KWA WANAOZIKUSANYA

Benki Kuu ya Tanzania inapitia upya sera ya bei ya noti na sarafu ili kutoa huduma bora kwa wateja wake. Hivyo, tunasikitika kutangaza kwamba uuzaji wa noti na sarafu kwa wanaozikusanya na kuzitunza umesitishwa hadi hapo itakapotangazwa tena. Tunasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza kutokana na hatua hiyo.

 

 

          

 

 

| Chuo cha Benki Kuu | Webmail Access | Bodi ya Bima ya Amana | Kumbukumbu | Ajira, Zabuni, Taarifa kwa Umma |

 
Mpangilio wa Tovuti | Tahadhari kwenye Tovuti | Sera ya Faragha | Tahadhari kwenye barua pepe | Webmaster@bot.go.tz