English | Mwanzo | Wasiliana nasi | Mrejesho | Tafuta
Nembo ya Serikali Benki kuu ya Tanzania Bank of Tanzania Logo

Kuhusu Benki Kuu

Tovuti ya Benki Kuu

Karibu katika tovuti ya Benki Kuu ya Tanzania. Lengo la tovuti hii ni kukupatia taarifa muhimu kuhusu Benki Kuu ya Tanzania. Yaliyomo katika tovuti hii ni maelezo ya jumla na si vinginevyo. Pamoja na tahadhari zote zinazochukuliwa kuhusu usahihi wa taarifa, Benki Kuu ya Tanzania haitahusika kwa mtu, kampuni au taasisi yoyote na taarifa au maoni yasiyo sahihi yatakayokuwemo kwenye tovuti hii

Dhima Yetu

" Kuandaa na kusimamia sera ya fedha inayolenga kudhibiti mfumuko wa bei na kujenga mfumo wa fedha imara na wenye uadilifu unaofaa katika kuleta ukuaji endelevu wa uchumi wa taifa. "

Dira Yetu

"Kuwa Benki Kuu ya mfano iliyojikita katika kudhibiti mfumuko wa bei na kujenga mfumo wa fedha ulio imara unaofaa kwa ukuaji endelevu wa uchumi wa taifa."

 

Wasiliana nasi

 

| Chuo cha Benki Kuu | Webmail Access | Bodi ya Bima ya Amana | Kumbukumbu | Ajira, Zabuni, Taarifa kwa Umma |

 
Mpangilio wa Tovuti | Tahadhari kwenye Tovuti | Sera ya Faragha | Tahadhari kwenye barua pepe | Webmaster@bot.go.tz