English | Mwanzo | Wasiliana nasi | Mrejesho | Tafuta
Nembo ya Serikali Benki kuu ya Tanzania Bank of Tanzania Logo

Jukumu la Msingi na Kazi za Benki Kuu

Jukumu la msingi la Benki Kuu ya Tanzania ni kuandaa na kutekeleza sera ya fedha inayolenga kudhibiti mfumuko wa bei na kujenga mfumo wa fedha ulio imara na unaofaa kwa ukuaji endelevu wa uchumi wa taifa.

Kazi Zingine za Benki Kuu

  1. Kutoa sarafu ya nchi ambayo ni Shilingi ya Tanzania.
  2. Kusimamia mabenki na taasisi za fedha
  3. Kusimamia na kudhibiti mifumo ya malipo nchini
  4. Kuhifadhi akiba ya nchi ikiwemo fedha za kigeni
  5. Kutoa ushauri juu ya masuala ya uchumi na fedha kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
  6. Benki ya Serikali, na
  7. Benki ya Mabenki.
 
 

| Chuo cha Benki Kuu | Webmail Access | Bodi ya Bima ya Amana | Kumbukumbu | Ajira, Zabuni, Taarifa kwa Umma |

 
Mpangilio wa Tovuti | Tahadhari kwenye Tovuti | Sera ya Faragha | Tahadhari kwenye barua pepe | Webmaster@bot.go.tz